Kiura (Papua)

Kiura ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waura. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiura imehesabiwa kuwa watu 1900. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiura iko katika kundi la “East New Britain”.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy